
Haya tena jamani, hiki ni kitongoji kimoja wapo katika mchakato wa kumpata miss tanga, 'Miss collage' ambapo washiriki kutoka vyuo mbalimbali walichuana.
Katikati niye mshindi anaitwa Victoria Martin, wa pili kuchoto ni Time Salim, watatu ni Helen Cesary. Vicky alishinda kutokana na vigezo muhimu kama unavyomcheki hapo chini lakini pia kujiamini na kujbu swali ipasavyo vilimuongezea point.
toa maoni yako....

2 comments:
hongereni wana-Tanaga kwa kuanza safari ya miss Tanzania mapema.Nawatakia kila la kheri.
lakini mimi binafsi nimevutiwa na huyo bibie mwenye kitop cha pink (rukia jumbe).nitafurahi kama ningepata anuani zake ili tuwasiliane.Anaweza wasiliana nami kwa hii anuani yangu ya gmail;jina hapo juu.Nadhani nikirudi TZ later this year tunaweza kwenda mbele zaidi ktk mahusiano and who knows? sijaoa mimi
big up miss tanga 2007
Hi, hivi huyo webmaster wenu hajaenda shule?!?!? inakuwaje college aite collage?!??! na kushoto yeye anasema kuchoto?!?!?
by the way Miss college namba 2 analipa...
Post a Comment